Kabla ya wazungu kuja Ziwa victoria lilikuwa linaitwa Nyanza. Maana ya Nyaza ni eneo pana lenye maji(Ziwa). Hata jina Rasmu walililipa wazungu ni Victoria-Nyanza. Hata ziwa Nyasa ni hivyohivyo. Neno Nyasa na neno Nyanza yana maana moja.
Sasa hili neno Tanganyika linamaanisha nini? Na kuna jina la asili la hili ziwa?