Jina la biashara

Jina la biashara

Mpilipili

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
28
Reaction score
12
Wanandugu habarini za asubuhi.

Ninataka kuanzisha kabiahara na nimeshauriwa nianze kama kampuni. Hivyobasi, najua humu kwenye jamvi hakikosekani kitu. NAOMBA MWENYE KUJUA JINA ZURI LITAKALOENDANA NA BIASHARA YANGU. Biashara ya (general traders, pharmacy, accommodation, conference and transport)
 
Duuhh kiongozi kama hata jina linakusumbua huo Ubunifu mwingine vipi?
 
Back
Top Bottom