Kwa kuwa nchi yetu ilikuwa ikikabiliwa na maadui wakubwa watatu kama vile; UMASIKINI, MARADHI, na UJINGA, then mwasisi wake, J. K. Nyerere alimaanisha kuyapindua hali hiyo kwa kutangaza vita dhidi ya maadui hao. Lakini badala yake MAPINDUZI hayo yakabadilishwa falsafa hiyo namatokeo yake wakaipindua nchi mithili ya "MIGUU JUU, KICHWA CHINI".CCM ni chama cha ''mapinduzi." Hivi ni mapinduzi gani walikuwa wanamaanisha mwaka 1977? Could CCM be literally meaning REVOLUTIONARY PARTY ?
Walitarajia kufanya mapinduzi gani?
Mwenye kufahamu zaidi atujuze wakuu otherwise naona hilo jina hali- represent vision au mision yoyote nikilinganisha na majina mengine kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo. chama cha wanachi , n.k
CCM ni chama cha ''mapinduzi." Hivi ni mapinduzi gani walikuwa wanamaanisha mwaka 1977? Could CCM be literally meaning REVOLUTIONARY PARTY ?

mimi ninavyofahamu hizo CC, zina uhusiano na Catholic na Church, nyerere alikua Genius!
we ndo ma........... kweli wewe!mimi ninavyofahamu hizo CC, zina uhusiano na Catholic na Church, nyerere alikua Genius!
we ndo ma........... kweli wewe!
Kwa kuwa nchi yetu ilikuwa ikikabiliwa na maadui wakubwa watatu kama vile; UMASIKINI, MARADHI, na UJINGA, then mwasisi wake, J. K. Nyerere alimaanisha kuyapindua hali hiyo kwa kutangaza vita dhidi ya maadui hao. Lakini badala yake MAPINDUZI hayo yakabadilishwa falsafa hiyo namatokeo yake wakaipindua nchi mithili ya "MIGUU JUU, KICHWA CHINI".
CCM ni chama cha ''mapinduzi." Hivi ni mapinduzi gani walikuwa wanamaanisha mwaka 1977? Could CCM be literally meaning REVOLUTIONARY PARTY ?
Walitarajia kufanya mapinduzi gani?
Mwenye kufahamu zaidi atujuze wakuu otherwise naona hilo jina hali- represent vision au mision yoyote nikilinganisha na majina mengine kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo. chama cha wanachi , n.k
Manyema said:Chama Cha Majambazi (CCM)
Chama Cha Mafia