Jina la Diamond linadhihirisha tabia zake

ngoja huu uzi auone diva wa clouds.
 
Hakika analitendea haki jina lake.
 
Keep it up. Kuna siku huenda ndomondi akakukumbuka kwenye moja ya music tour yake mkaenda wote.
 
Umekopi wapi? Maelezo mengi Sana.
 
Hicho kichwa, leo wabunge wakati wa kuchangia hoja ya Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo waliwataja nyota na tunu za Taifa kuwa ni Diamond na Mbwana Samatta.

Yule hakutajwa kabisa.
 
Hicho kichwa, leo wabunge wakati wa kuchangia hoja ya Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo waliwataja nyota na tunu za Taifa kuwa ni Diamond na Mbwana Samatta.

Yule hakutajwa kabisa.
Hahaha
Labda ungetujuza yulee una maanisha naniii!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…