Jina la Dkt. Kimei lipo mezani

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Hilo jina linajadiliwa mno kwenye corridor za juu huko na upinzani ni mkubwa mno baina yeye na aliyepo sasa kwenye mambo ya (njuruuu)ni nani baina yao akawe boss wa wizara mpya inayoenda kuanzishwa hivi karibuni ihusuyo mambo ya mipango.

" Ilikuwa yule mvuka maji msaidizi wa jamaa angepandishwa kuwa boss na boss angepelekwa mipango lakini kiongozi atasita kumpandisha mvuka maji mwenzake kwa sababu upepo una dhoruba mno kama unavyotambua."
 
mbona samia hajiamini ila mimi naona kila akibadilisha ndio anazidi kuwasogeza vibaka na wanafiki karibu na kuwasogeza mbali wazalendo..katika teuzi zake sijawahi kuona hata akimpata mtu sahihi..

karibu wizara zote zimepyaya at least wizara ya elimu na kilimo
 
Tatizo mgalatoa
 
Kimei namkubali sana. Kwa mara ya kwanza nimekula barafu(ice cream) nilinunuliwa na baba yangu mdogo kwa Kimei kipindi ni meneja wa NMB wilaya moja Kagera huko.
 
Huyo hapana. Ni Mchagga!
Hao ambao sio wachaga wametufanyia nini ? Mfano huyo chotara wa kinyiramba na kisukuma anamaajabu gani maana wizara imemshinda anapuyanga tu na apersonal attack kwa Luhanga Mpina! Kimei kama atapewa vizara ni poa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…