Kwa nini Taasisi ambayo imepuuzwa na Waislam kujitokeze kundi kubwa la Waislam likilalamika kwa nini Kiongozi wao wa Mkoa ameondolewa (hapa sizumngumzii tuhuma bianafsi za aliyeondolewa, natazama ni kwa namna gani Tasisisi inayotajwa kupuuzwa lakini kuna Watu wengi tu wakizungumza jambo la kiuongozi la taasisi hiyo)!