Jina la duka la nguo za kike Kinondoni

Jina la duka la nguo za kike Kinondoni

mamii90

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
380
Reaction score
266
Wanalouza nguo classic za kike
Very agent please
 
Hussein pamba kali, nenda
Liko karibu na robby one fasion
 
Wanalouza nguo classic za kike
Very agent please
Classic meaning za dukani au mtumba?
Kama za duka ukifika kinondoni studio umefika, kulia Robbyone, afu pembeni yapo kama 7 tofauti wewe tu.
 
Back
Top Bottom