Jina la Feisal limetoweka ghafla midomoni mwa wana Simba

Kimyaaa. Hakuna tena maneno maneno na wala
hawafurahii usajili wake. Hii maana yake nm jaman
Sisi tulikuwa tunataka dogo apate haki yake aondoke. Wala hatukuwahi kumtaka.

Mnaoumia ni nyinyi Yanga. Mlijidai kubana makalio, mpemba alipogusa tu mkachanua na vijambo juu.

Dogo kaenda kwenye klabu iliyomtaka. Wapemba si watu wema aisee.
 
mweee
 
Tumecheza nusu msimu bila yeye na tumefanikiwa saaana. Tutaumia na nini
 
Kimyaaa. Hakuna tena maneno maneno na wala
hawafurahii usajili wake. Hii maana yake nm jaman
Wanamdai pesa waliomchangia kwenda CAS wakiongozwa na Andazi Ahmed Ally. Naye kasema hatoi hata mia dadadeki
 
Semaji la KAFU linatudanganya sana sisi mashabiki wa timu MBUMBUMBU, alituhamsasisha tumchangie mil. 60 Tapeli Fei za kwenda KASI kumbe wametufanyia utapeli

Alafu Tapeli linasena halijui nani aliyemchnagia na ambaye hajamchangia kwahiyo hawezi kuwarudishia hizo pesa.
 
poleni kwa kutapeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…