Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kuna jina la kipande cha ardhi cha Africa mashariki kinaitwa "Kenya". Wakati huo huo kiongozi aliyekiletea Uhuru kipande hicho cha ardhi kutoka kwa wakoloni waingereza anaitwa " Kenyatta". Nini maana ya "Kenya" na "Kenyatta", kwa kiswahili?
Kwahiyo "Kenya" haina uhusiano wowote na jina "Kenyatta"??Nachojua Jomo Kenyatta sio jina lake la kuzaliwa.Huyu mzee alikuwa anabadili majina kila mara.Nadhan alibadili majina mara 4 au 3.By the time of his death alikuwa anajiita Jomo Kenyatta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kusoma hilo sio tatizo langu nimekupa full reference hapo sasa kama unategemea mtu atakupa jibu kuliko maelezo yaliyopo kwenye written word..., kafukue makabuli ya waliokuwepo wakati huo.....Njooo na maana iliyonyooka ya neno "Kenya" vs "Kenyatta" kwa lugha ya Kiswahili sio kunijia na copy&paste quotation zisizo na maana.
Tuweke records sawa.Umenikumbusha issue ya Arsenal na Arsenal Wenger daah. tusubiri watupe muongozo, kuna nini hapo.
Njooo na maana iliyonyooka ya neno "Kenya" vs "Kenyatta" kwa lugha ya Kiswahili sio kunijia na copy&paste quotation zisizo na maana.