Kwenye simu yako ya mkononi, mchepuko wako wa kike/kiume umeuandika jina gani ili mmeo/mkeo asiutambue? Mimi nimeupa jina BOSS WANGU, tena akipiga simu nikiwa na mke wangu, wakati wa kupokea natangulia kusema huyu boss wangu msumbufu, halafu naenda pembeni!