Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Ni miezi miwili imepita tangu ndoa hii imefungwa,lakini iko kwenye misukosuko mikubwa baada ya mume kila akilala amekuwa akiota ndoto na kujikuta akitamka kwa sauti jina la mpenzi wake wa zamani kabla hajaoa,binti analalamik kuwa hata wakati wa "gemu"jamaa utamu ukikolea anajikuta anatamka jina hilo,binti anataka kudai talaka!!!!Adai au aamue kuvumilia?Maana akimuuliza mume wake anamwambia asihofu kwani yeye ndo mke wa ndoa na hana mahusiano na huyo mdada kwa muda huu!!