Hivi kweli unaweza kumkataza mtu kuota?????Mie nadhani inatakiwa atafute mechanisms ya kumfanya aidha amuote yeye au aache kuota au hata yeye msikilizaji aache kusikia. Moja ya mbinu ni yeye huyo dada kuigiza kama naye anaota mpenzi wake wa zamani, hata kulala na radio ipo on ili asimsikie ninahakika huyo mwanaume akiona hasikiwi ataacha kuota. Kuota gani huko kama si makusudi, humtaki mtu si unamwambia kuliko kumletea vituko!!! ebo!
Hamna muotaji hapo ni msanii tu. Inawezekana na huyo mwanamke alilazimisha ndoa. Kuna watu wanadhani pesa zao zinaweza kununua upendo na hatimaye au ndoa na hatimaye upendo. Maisha ni safari ndefu saana kujifanya unavumilia visivyovumilika ni kujitesa na kupunguza furaha tu.Hivi kweli unaweza kumkataza mtu kuota?????
Ok sasaHamna muotaji hapo ni msanii tu. Inawezekana na huyo mwanamke alilazimisha ndoa. Kuna watu wanadhani pesa zao zinaweza kununua upendo na hatimaye au ndoa na hatimaye upendo. Maisha ni safari ndefu saana kujifanya unavumilia visivyovumilika ni kujitesa na kupunguza furaha tu.
Hamtaki na hana confo ya kumwambia hamtaki. Kwahiyo ni miongoni mwa vituko. Subiri kama haitafuta post nyingine anamletea mwanamke hapo na kusema rafiki au anapokea SMS za mpenzi wake wa zamani. Infact, hakuwa tayari kumuoa huyo binti. Wanatakiwa wakae chini ili wajue wanasonga mbele au ndio wameshafika mbele na kila mtu aanze maisha yake. Wewe ndoto gani mfululizo za mtu huyohuyo. Ndoto mara nyingi ni matokeo ya kile anachowaza mtu, sasa wewe yeye anamuwaza huyo mwanamke for two months. Duh usanii duniani hautaisha. Unalala jamaa ananung'unika pembeni huku akitaja jina la mwanamke mwingine.Ok sasa
unafikiri jamaa anajifanya anaota?? Ni sababu gani tu unadhani inayomfanya afanye hayo kwa mkewe??
DuhhhHamtaki na hana confo ya kumwambia hamtaki. Kwahiyo ni miongoni mwa vituko. Subiri kama haitafuta post nyingine anamletea mwanamke hapo na kusema rafiki au anapokea SMS za mpenzi wake wa zamani. Infact, hakuwa tayari kumuoa huyo binti. Wanatakiwa wakae chini ili wajue wanasonga mbele au ndio wameshafika mbele na kila mtu aanze maisha yake. Wewe ndoto gani mfululizo za mtu huyohuyo. Ndoto mara nyingi ni matokeo ya kile anachowaza mtu, sasa wewe yeye anamuwaza huyo mwanamke for two months. Duh usanii duniani hautaisha. Unalala jamaa ananung'unika pembeni huku akitaja jina la mwanamke mwingine.
unajua watu wengi hawana amani katika maisha ya ndoa. Aidha wanasubiri sababu itokee na km haitokei wanaweza kuianzisha kwa vituko, au wanaogopa watu kuchukua uamuzi, au dini zao na wengine wanaishi tu kwasababu wanawaonea huruma wenzi wao.Duhhh<br />
ni miezi miwili tu..<br />
Haya mkuu nimekusoma..<br />
Sasa unafikiri jamaa anataka bibie<br /
Amwache ili ye asionekane mmbaya au.???
unajua watu wengi hawana amani katika maisha ya ndoa. Aidha wanasubiri sababu itokee na km haitokei wanaweza kuianzisha kwa vituko, au wanaogopa watu kuchukua uamuzi, au dini zao na wengine wanaishi tu kwasababu wanawaonea huruma wenzi wao.
Ni miezi miwili imepita tangu ndoa hii imefungwa,lakini iko kwenye misukosuko mikubwa baada ya mume kila akilala amekuwa akiota ndoto na kujikuta akitamka kwa sauti jina la mpenzi wake wa zamani kabla hajaoa,binti analalamik kuwa hata wakati wa "gemu"jamaa utamu ukikolea anajikuta anatamka jina hilo,binti anataka kudai talaka!!!!Adai au aamue kuvumilia?Maana akimuuliza mume wake anamwambia asihofu kwani yeye ndo mke wa ndoa na hana mahusiano na huyo mdada kwa muda huu!!
Kabla wakati wa uchumba alikuwa hamtaji? au ndio mambo ya kuolewa na bikira? haya mambo bwana ndio unapokuja umuhimu wa microphone test, ili usije jut badae. anakuwa na wewe huku anaendelea kuchombeza na bibi yake wa zamani sababu tu wewe unasubiria ndoa. vumilia umeyataka mwenyewe
big up nyumba kubwa,unajua watu wengne hawaamin kama kuna uchaw,nguvu za giza zipo ila nguvu za mungu ni zaid,agonge maombiKarogwa huyo. Wife apige maombi. Kwani mtu lazima kuota au kutaja majina wakati wa majambozi. Nguvu za giza zipo. Huyo dada apige maombi mwenzie atakuwa kamkalia vibaya labda alitaka aolewe yeye. Sidhani kama ni usual mtu kuota nakuongea majina. Eeh . Uchawi upo jamani mpeni yesu au mtume ndoa zenu awalindie! Kama hana evidence kuwa wanendelea, ajue yeye bado ni chaguo ila mwenzie anafanya kitu mbaya!