Jina la mpenzi wa zamani layumbisha ndoa

Huu uchawi huu!Mi nahisi unapewanguvu ambayo siyo yake!!
 
we dada na wewe si una mpenzi wako wa zamani na wewe uwe unamtaja sasa...yaani ye anamwaga mboga we unamwaga ugali...tena wakati wa hilo mnaloita tendo la ndoa ndo zidisha kumtaja huyo mwanaume wako wa zamani vibaya sanaaaaaa
 
Huyo dada avumilie, asijali bado mapema, ila yeye anatakiwa aongeze majonjo ili mumewe azime mshumaaa, talaka si suluhisho, anachotakiwa kufanya ni kuongeza mautundu co kulalamika.
 
Ndo maana suala la kuoa kwangu ni gumu!
 
Ndo maana suala la kuoa kwangu ni gumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…