Jina la mtangazaji linakukosha!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Habari za Asubuhi wadau, najua wengi mmeona au kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari. Hebu tupia jina gani la mtangazaji ukilisikia basi unakuwa mwemereee! Kwa mfano mimi Yule jamaa, Sekioni kitojo...
 
Bujaga Izengo Kadago na hayati Prince Baina Kamukulu Jidulamabambasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…