tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
KOMLA AFEKE DUMOR (R I P)Hata mimi
Hahaa huyu jamaa mzee wa amka na bbc...Lubunga Byaombe...........alikuwa BBC Swahili Kongo. Sijui yuko wapi siku hizi.
Edda Sanga, Julius NyaisangaHuwa nahamisha channel
Umry kherOUMYLAKHERI,
SAMADU HASSAN
Unatamka kisomali kama unameza fundo la biaAsante kwa jina hilo maana jamaa jina lake gumu ile mbayaaa.hasa hiyo juqsoday
ndo nani huyo?Umry kher
Atakuwa Mariam MigombaKuna mtangazaji wa Tbc mwanamke ana macho mazuri daaaaah!!!! yaaaani mpaka basii.... sijui anaitwa nani? akikuangalia tuuu..... utadhani anakuita umugegede
Hivi hawa Omary Jongo na Ahmed Jongo walikuwa ni ndugu?Mzee Abdul Ngalawa, SS Nkamba, Salim Mbonde, Abdul Raheem Katani, Vicent Makori(VOA),Salim Kikeke,Nswimaaa Erneeest, Abisai Steven, Omari na Ahmed Jongo, Misanya Bingi, Baruan Muhuza na Yahya Mohammed, Kassim Mikongolo, Christian Chokonegela, Tumbo Tamim Risasi, Ahamed Kipoz, Suzane Mungi, Tiddo D Mhando, Zainab Ally(KBC), wengi wakiwa ni Ex RTD
Habari za Asubuhi wadau, najua wengi mmeona au kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari. Hebu tupia jina gani la mtangazaji ukilisikia basi unakuwa mwemereee! Kwa mfano mimi Yule jamaa, Sekioni kitojo...