Jina la mwaka mpya 2014: Wetohye

Jina la mwaka mpya 2014: Wetohye

Joined
Mar 5, 2009
Posts
95
Reaction score
32
Kama ilivvyo ada kwa wahaya kila mwaka hupewa jina. Na mwaka huu 2014 umeitwa WETOHYE.
Abahaya na buli omoi waitu ayetohyeze Ruhanga tubase kushabuka kurungi n'emirembe.
Mpahonu: obakeise 2013 WEBANGE nyegera 2014..WETOHYE
 
Asante mkuu kwa kutuletea hii kitu. Hebu tuwekee na maelezo kamili basi ni kwa nini 2014 imeitwa WETOHYE.

Tiba
 
Mkuu ni kwanini kila mwaka una jina? je hakua miaka inayojirudia majina na ni kwanini wanaipa majina na hayo majina hutokana na nini??
Hebu tufumbue macho!
 
Back
Top Bottom