Kama ilivvyo ada kwa wahaya kila mwaka hupewa jina. Na mwaka huu 2014 umeitwa WETOHYE.
Abahaya na buli omoi waitu ayetohyeze Ruhanga tubase kushabuka kurungi n'emirembe.
Mpahonu: obakeise 2013 WEBANGE nyegera 2014..WETOHYE
Mkuu ni kwanini kila mwaka una jina? je hakua miaka inayojirudia majina na ni kwanini wanaipa majina na hayo majina hutokana na nini??
Hebu tufumbue macho!