Jina la Mwalimu Nyerere kwa mitaa ya nchi jirani

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
258
Reaction score
236
Poleni na Majukumu ya Leo wana JF.

Naomba kujua niongeze maarifa.

Nchi yetu sehemu mbalimbali za mitaa na barabara ziko na majina ya viongozi nguli mfano Kenyatta Road. Nkrumah. Mandela, Obama Road nk.

Je, majina kama Nyerere, Sokoine, Milambo na mashujaa wengine wa nchi. Majina yao yameandikwa kwenye mitaa,/ barabara za kwao kama sisi tulivyoandika majina ya nchi majirani? Na kama zipo ni nchi zipi na majina yepi yameandikwa kwa sana kutoka Tanzania?
.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani katika maeneno yyetu haya ni DRC, Uganda, Rwanda na Burundi tu ambao hawana barbara za Nyerere. Interesting Uganda kuna barabara za Mobutu na Bokassa hapo Kampala., lakini hawana Nyerere. Sehemu nyingine hazina barabara lakini yana majengo yanayoitwa Nyerere. Angalia sample hizi za barabara;

(1)Nairobi, Kenya


(2)Lusaka, Zambia


3) Maputo, Musumbiji



4)Harare, Zimbwabwe


(5) Francistown, Botswana


(5), Kaduna, Nigeria


6). Accra Ghana


7) Windhoek, Namibia
 
Nyerere road karibu na barabara inayoenda state house Nairobi
 
Screpa Rd sijaiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…