mbona POVU??hata ww ulichoandika kina reflect maisha yako,ilikuwa naulazima gani kujipa hilo jina kama ID??kama unachuki binafsi na maisha ya watu vile!!hauna chakufanyaumekalia majungu waache watu wajiliwaze maisha yenye ya bongo zigzag..ulitaka wawaite watoto wao Pombe,Mtera,ghasia huoni haya majina yana endana na tabia zahawa wahusika
acha majungu fanya maisha yako,we kukaa kufikiria maisha ya watu tu,kwani unawasaidia kulea hao watoto kina nicolembona POVU??
Basi ita yeye AlfonsoHahahaaa unanikumbusha.. ila sasa majina haya ya
Kigeni ni shida sidhani kama bibi yake ataweza kutamka
Labda tu useme jina limekua common.Lakini ukisema tabia za hao Nicole wa kwenye tamthilia watazirithi hii ina tegemeana na mpaji jina alinuia nini.Mfano jina john kwani john wote washakua maraisi.
Hoshea hivi nalo ni jina la kiafrika? Mmmh!!! Au unamaanisha 'hoshea' ya 'fulia' kama nguo hivi!Iteni watoto majina ya kiafrika acheni utumwa.
Otorong'ong'o ni jina LA Taifa gani?Hivi kwann hamthamin majina ya Kiafrika...
We si Mchaga kadri ya ID yako? au huendi Moshi December? Mushi, Moshi, Masawe nk au kama umeolewa muulize mmeo majina ya kikabila laoHaya nakupa kazi nichagulie jina la mtoto wa kiume
Nywele zenyewe hawaziogi mba zinawasha na zinanuka na yale mafuta ukilala naye kuna hybrid za harufu mia ni kidogo. Wanazungusha kichwa kama kuku mwenye kideri.Ongeza na wale wanatumia muda mwingi kuweka nywele ziwe kama za akina Nicole, hala kila akitembea anazungusha kichwa na shingo kama ng'ombe anayefukuza nzi au anaondoa nywelie kwa kutumia vidole.
kama vile UkuniIteni watoto majina ya kiafrika acheni utumwa.
Au Mborokama vile Ukuni
Akizaliwa muite MWITA, CHACHA, MARWA, RHOBI, GHATI, BHOKE, MASERO, WAMBURA, au hata GIKURI. Hata mie napenda majina na kikwetu
Sijui alienda wapi Nicole ila utakuta yupo tu hapa tehUmenikumbusha akanana Nicole
Hahahaaaa...umenichekesha kiongozi.Ongeza na wale wanatumia muda mwingi kuweka nywele ziwe kama za akina Nicole, hala kila akitembea anazungusha kichwa na shingo kama ng'ombe anayefukuza nzi au anaondoa nywelie kwa kutumia vidole.
Teh teh!!! Anavua nywele za bandia anabaki na kitu upara au twende kilioni. Unaweza kuahirisha mtanangeSipendi hayo makitu, unamkuta Mdada kajikwatua safi sana, kichwani nywele zimelala mpaka mgongoni, mkifika room, katika maandalizi unamvua nguo mpaka na c...p, baada ya hapo unamkalisha kwenye sofa na kuendelea kumshika shika maeneo yanayoamsha maaskari, ghafla unaona natoa zile nywele ndefu na kuziweka mezani na kubaki na kipara, sasa kama zile nywele ndo zilikuvutia, unakuta stimu inaisha !!!!