Radi inaunguruma sasa huo mvumo sijui kiba aliutoa wapiHv radi inavuma au ina unguruma
toa yako nzurii basii..Nyimbo yenyewe mbayaa ila tu kwa vile kaimba Ali K basi CMG wanaipa proomo lengo lao ikiwa ni kumpoteza Chibu kitu ambacho hawatafanikiwa!!Ommy Dimpoz katoa bonge la wimbo kuliko huo wa Ali K