Kuzenza kamuli
Member
- Dec 17, 2019
- 19
- 41
Kuna baadhi ya Wanasoka wamesikitishwa na kukosekana kwa jina la Top Score wa NBC George Mpole kwenye tuzo za Ligi Kuu ya NBC wakidai ni kukosekana kwa uzalendo kwa wachezaji wa ndani. Kinachotokea kwa Mpole ni kama kilichotokea kwa Son aliyekuwa Top Score wa EPL bila goli la penati lakini hakuhusishwa kwenye tuzo. Laiti Mpole angekuwa Simba au Yanga na akawa Top Score angechukua tuzo ya uchezaji bora. Mpole ameponzwa na uchanga wa Klabu yake.