Kuzenza kamuli
Member
- Dec 17, 2019
- 19
- 41
Kwamba Inonga ndio ashindane na Mayele kwenye Top Scorer?Nafasi Ya Mpole Imechukuliwa Na Inonga, Sijui Kafanya Nn Cha Maana Yule Jamaa Au Ndo Kumkaba Mayele Asifunge Kwenye Derby!
Tatizo TFF na Bodi ya Ligi wamekula hela nyingi za GSM hivyo ni njia mojawapo ya kumpoza kwa mayele kukosa kuwa mfungaji bora.Kuna baadhi ya Wanasoka wamesikitishwa na kukosekana kwa jina la Top Score wa NBC George Mpole kwenye tuzo za Ligi Kuu ya NBC wakidai ni kukosekana kwa uzalendo kwa wachezaji wa ndani. Kinachotokea kwa Mpole ni kama kilichotokea kwa Son aliyekuwa Top Score wa EPL bila goli la penati lakini hakuhusishwa kwenye tuzo. Laiti Mpole angekuwa Simba au Yanga na akawa Top Score angechukua tuzo ya uchezaji bora. Mpole ameponzwa na uchanga wa Klabu yake.
Na mayele alibakwa kweli kweli hadi sasa sisi wanayanga mwendo wake hatuuelewiNafasi Ya Mpole Imechukuliwa Na Inonga, Sijui Kafanya Nn Cha Maana Yule Jamaa Au Ndo Kumkaba Mayele Asifunge Kwenye Derby!