Huu nao ni UtopoloTURUDI NYUMA: Kuna timu ILIJITOA UFAHAMU NA KUJIFANYA NI YA KIZUNGU NA KUDHARAU ASILI YAKE KWA KUJIITA" SUNDERLAND". SERIKALI IKAPIGA MARUFUKU UJINGA HUO NA KUTAKA MAJINA YENYE ASILI YETU, NDIPO TIMU HIYO IKATOKA USINGIZINI NA KUBADILI JINA KUWA SIMBA. WAKATI HUO, TIMU NYINGINE ILIRINGIA ASILI YAKE KWA KUJIITA "VIJANA CHIPUKIZI WA KIAFRIKA WA DAR ES SALAAM ( DAR es Salaam Young Africans). NI AIBU TIMU KUFUNDISHWA NA SERIKALI KURINGIA ASILI YAKE!
Ni ajabu na kweli kwamba lile jina lililokuwa linawanyima usingizi mashabiki na wapenzi wa Young African sasa limejifia lenyewe by "Natural Death" huku wenzao wakipokea shurba hiyo kwa jina lao la "Makolo" kuibuka na kujipatia umaarufu mkubwa. Kweli kutesa kwa zamu.Tafta hela heshima itakufuata yenyewe.
Mleta mada kaukimbia uzi wakeUto kama Uto [emoji3][emoji3]
Na wewe tuondolee Utopolo wako hapa.TURUDI NYUMA: Kuna timu ILIJITOA UFAHAMU NA KUJIFANYA NI YA KIZUNGU NA KUDHARAU ASILI YAKE KWA KUJIITA" SUNDERLAND". SERIKALI IKAPIGA MARUFUKU UJINGA HUO NA KUTAKA MAJINA YENYE ASILI YETU, NDIPO TIMU HIYO IKATOKA USINGIZINI NA KUBADILI JINA KUWA SIMBA. WAKATI HUO, TIMU NYINGINE ILIRINGIA ASILI YAKE KWA KUJIITA "VIJANA CHIPUKIZI WA KIAFRIKA WA DAR ES SALAAM ( DAR es Salaam Young Africans). NI AIBU TIMU KUFUNDISHWA NA SERIKALI KURINGIA ASILI YAKE!