Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
JINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani
Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU kristo.
Marekani, uchina na urusi na mataifa yote tajili G7 wataangushwa pamoja kwa Kutumia jina la YESU tu watajaribu kurusha makombola lakini hayata wapata WATAKATIFU walio katika YESU KRISTO na Dunia Yote Itatawaliwa na mfalme wa wafalme YESU KRISTO.