Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
Hajarudi, Yuko zake mbinguni kama Mungu wa wanadamu na malaika na mapepo yote, cheo alichopewa na Mungu aliyemtumikia kwa moyo wake wote. Atarudi muda ambao Mungu wake amepanga.Naskia Yesu angekuwa amesharudi kitambo ila alikula nauli.
Naskia Yesu angekuwa amesharudi kitambo ila alikula nauli.
Hayo wewe wasemaKwahiyo Yesu ni muuaji?
Kwa raha zako mshamba wewe sio wa kwanza Wala wa mwishoNaskia Yesu angekuwa amesharudi kitambo ila alikula nauli.
Huyu jamaa hazungumzi WW3 anazungumzia Maji Maji War 2 maanake watu watakufa kiboya sana.Hajarudi, Yuko zake mbinguni kama Mungu wa wanadamu na malaika na mapepo yote, cheo alichopewa na Mungu aliyemtumikia kwa moyo wake wote.
Atarudi muda ambao Mungu wake amepanga.
Nakupenda sana wewe binti.Kwa raha zako mshamba wewe sio wa kwanza Wala wa mwisho
Hapo mbele weka Shangazi sio Binti. Halafu usiharibu Uzi . Rudi nyuma wewe Shetani.😏Nakupenda sana wewe binti.
Au sioJINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani
Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU kristo.
Marekani, uchina na urusi na mataifa yote tajili G7 wataangushwa pamoja kwa Kutumia jina la YESU tu watajaribu kurusha makombola lakini hayata wapata WATAKATIFU walio katika YESU KRISTO na Dunia Yote Itatawaliwa na mfalme wa wafalme YESU KRISTO.
View attachment 3055278
Daima mbele, nyuma mwikoRudi nyuma wewe Shetani.😏
Unajuaje? Au ni illusion tu.?JINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani
Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU kristo.
Marekani, uchina na urusi na mataifa yote tajili G7 wataangushwa pamoja kwa Kutumia jina la YESU tu watajaribu kurusha makombola lakini hayata wapata WATAKATIFU walio katika YESU KRISTO na Dunia Yote Itatawaliwa na mfalme wa wafalme YESU KRISTO.
View attachment 3055278
Tujitahidi kwanza CCM watoke madaraka I, otherwise Pepo tutaisikia kwenye bombaJINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani