Jina la Ziwa letu 'Lake Victoria' libadilishwe kuwa Ziwa Nyanza

P J O

Senior Member
Joined
May 3, 2024
Posts
189
Reaction score
264
Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.

Ukoloni unapoisha ni muhimu kurejesha utamaduni wetu na kurejesha asili yetu. Tukimalizana na lake Victoria tunaenda kubadili LAKE NATRON na majina mengine ya kikoloni
 
Likibadilishwa tutanufaika na nini mkuu?
 
Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.

Ukoloni unapoisha ni muhimu kurejesha utamaduni wetu na kurejesha asili yetu. Tukimalizana na lake Victoria tunaenda kubadili LAKE NATRON na majina mengine ya kikoloni
Sawa kabisa. Hata Dar es Salaam kikwetu ni "Mzizima"
 
Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.
UKOLONI bado haujaisha Mkuu, yafaa nini kubadili jina ilihali technolojia zote unatumia zinatoka kwao, na wakiamua kuzima tu basi hamna huduma tunayopata kuanzia Bank, Calls na vingine kibao.

Nchi mnadaiwa 90+ Trillion halafu unasema tuna Uhuru.

Be a Man, focus na kupambana na umasikini ili walau uwe na half ya uhuru kwenye hii dunia.
 
Ni kweli, lakini Kama Nchi zinaweza badili jina kama Namibia, Tanganyika, Rhodesia hata Maziwa ya Nchi ya naweza badilishwa. Mfano Ziwa Nyasa/Ziwa Malawi
 
Tutauenzi utamaduni wetu, asili yetu na heshima yetu, badala ya kuwaenzi wazungu ambao wengi wao bado wanatukejeli na kutudharau.
Utamaduni wetu unaotaka tuuenzi hautusaidii mkuu, tunaishi kwa tamaduni za wazungu hata nje ya jina Lake Victoria.
Ukitaka ivo tafuta ubunifu wako, uwe na teknolojia yako, calender yako, mashine na sayansi yako
 
Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.

Ukoloni unapoisha ni muhimu kurejesha utamaduni wetu na kurejesha asili yetu. Tukimalizana na lake Victoria tunaenda kubadili LAKE NATRON na majina mengine ya kikoloni
Nchi zenyewe hizi tumeundiwa na wakoloni

Yani watu walikaa ujerumani huko wakamegeana wewe chukua hapa mpaka hapa ndio tukajikuta mara wale ni kenya, wale ni Tz nk sasa hata tukitaka uhuru rasmi turudi kwenye chiefdom
 
Utamaduni wetu unaotaka tuuenzi hautusaidii mkuu, tunaishi kwa tamaduni za wazungu hata nje ya jina Lake Victoria.
Ukitaka ivo tafuta ubunifu wako, uwe na teknolojia yako, calender yako, mashine na sayansi yako
Ulimwengu wa sasa ni globalization, Kila mtu anamuhitaji mwenzake kwenye jambo flani hakuna Nchi inayojitosheleza yenyewe lakini linaookuja swala la sovereignty na uzalendo ni muhimu kusimama na kuchukua hatua kama hii ya kuita majina wenyewe ya raslimqli na maliasili
 
Back
Top Bottom