nani kakwambia ukoloni umeisha?Ukoloni unapoisha
Likibadilishwa tutanufaika na nini mkuu?Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.
Ukoloni unapoisha ni muhimu kurejesha utamaduni wetu na kurejesha asili yetu. Tukimalizana na lake Victoria tunaenda kubadili LAKE NATRON na majina mengine ya kikoloni
Jina langu ni Onyango, waTz wenzangu wanadai mimi ni Mkenya lakini rafiki zangu kina Richard eti sio wazungu!Na raia wabadilishwe waache kujiita majina ya wakoloni
Anza wewe mkuu, jiite jei-milioniNa raia wabadilishwe waache kujiita majina ya wakoloni
Sawa kabisa. Hata Dar es Salaam kikwetu ni "Mzizima"Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.
Ukoloni unapoisha ni muhimu kurejesha utamaduni wetu na kurejesha asili yetu. Tukimalizana na lake Victoria tunaenda kubadili LAKE NATRON na majina mengine ya kikoloni
UKOLONI bado haujaisha Mkuu, yafaa nini kubadili jina ilihali technolojia zote unatumia zinatoka kwao, na wakiamua kuzima tu basi hamna huduma tunayopata kuanzia Bank, Calls na vingine kibao.Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.
Tutauenzi utamaduni wetu, asili yetu na heshima yetu, badala ya kuwaenzi wazungu ambao wengi wao bado wanatukejeli na kutudharau.Likibadilishwa tutanufaika na nini mkuu?
Uko sahihi kabisa kabisa!Na raia wabadilishwe waache kujiita majina ya wakoloni
Ni kweli, lakini Kama Nchi zinaweza badili jina kama Namibia, Tanganyika, Rhodesia hata Maziwa ya Nchi ya naweza badilishwa. Mfano Ziwa Nyasa/Ziwa MalawiUKOLONI bado haujaisha Mkuu, yafaa nini kubadili jina ilihali technolojia zote unatumia zinatoka kwao, na wakiamua kuzima tu basi hamna huduma tunayopata kuanzia Bank, Calls na vingine kibao.
Nchi mnadaiwa 90+ Trillion halafu unasema tuna Uhuru.
Be a Man, focus na kupambana na umasikini ili walau uwe na half ya uhuru kwenye hii dunia.
Utamaduni wetu unaotaka tuuenzi hautusaidii mkuu, tunaishi kwa tamaduni za wazungu hata nje ya jina Lake Victoria.Tutauenzi utamaduni wetu, asili yetu na heshima yetu, badala ya kuwaenzi wazungu ambao wengi wao bado wanatukejeli na kutudharau.
Nchi zenyewe hizi tumeundiwa na wakoloniJina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.
Ukoloni unapoisha ni muhimu kurejesha utamaduni wetu na kurejesha asili yetu. Tukimalizana na lake Victoria tunaenda kubadili LAKE NATRON na majina mengine ya kikoloni
Ulimwengu wa sasa ni globalization, Kila mtu anamuhitaji mwenzake kwenye jambo flani hakuna Nchi inayojitosheleza yenyewe lakini linaookuja swala la sovereignty na uzalendo ni muhimu kusimama na kuchukua hatua kama hii ya kuita majina wenyewe ya raslimqli na maliasiliUtamaduni wetu unaotaka tuuenzi hautusaidii mkuu, tunaishi kwa tamaduni za wazungu hata nje ya jina Lake Victoria.
Ukitaka ivo tafuta ubunifu wako, uwe na teknolojia yako, calender yako, mashine na sayansi yako