Ebwana kipind nipo mdogo nlikuwa nataniwa *NYITWE* kutokana na kichwa changu kilivokuw kikubwa (nyitwe kwa kisukuma ni kichwa kikubwa) sasa tani hili nlikuw nkitaniwa nalia sana ama nazila kula mchana kutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu na ww dodoaha jina lako la utani la utotoni lilikuw lipi ety...!!?[emoji15][emoji15][emoji15]