La nyumbani D, la utoto N, la cheti A...
Unataka lipi?
la ndoaLa nyumbani D, la utoto N, la cheti A...
Unataka lipi?
Aiss kumbe hii ndo first!Mada zako bwana [emoji3][emoji3][emoji16]yaani sijui wawazaga nini!!!
Mwisho humu utawajua watu kwa uhalisia wao!
Haya langu linaanzia J la nyumbani kwenye cheti cha shule S....!!!hapo vipi!halafu Leo second time nakua first replier kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
A too.
Jla ndoa
La JF na Facebook
ni mtu mmoja??
Jus coincide!!!Haha, ingawa kuna mtu kakuwahi sasahivi, nilipo upo... Hatua kwa hatua
Could this be fate or coincidence 😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huwezi patia hata kwa kuwaza aiseehh!!
Godfrey
RobertR
Naomba mtu abet majina 5 yanayoanzia na R kama atapatia