Jina langu "FATAKI" linanigharimu....!

Welcome to the IPC....! You seem to be qualified....!
 
Mkuu waliokupa hilo jina hawakukosea bwaha ha ha ha ha.

kuna mchungaji mmoja alisema kwamba majina mengine yamebeba laana,na majina mengine yanakufanya ufanane na maana za jina.
 
Mkuu waliokupa hilo jina hawakukosea bwaha ha ha ha ha.
Ndiyo, hawakukosea na siwezi kuwalaumu maana walinipa jina hili kabla halijatafsiriwa na kutumiwa kufikisha ujumbe fulani kwenye jamii...! Lakini sasa kinachowezekana ni nini, ili kuokoa maisha yangu nami nipate kutimiza ndoto zangu kama wengine? Tafadhali, usinicheke, bali unisaidie...!

kuna mchungaji mmoja alisema kwamba majina mengine yamebeba laana,na majina mengine yanakufanya ufanane na maana za jina.
Kwa hiyo na jina langu lilikuwa na laana? Nimefanya nini hadi mimi nipewe adhabu hii? Sijawahi kuvunja ndoa/mahusiano, wala kumtia mtoto/mwanafunzi mimba, wala kubaka....! Dada yangu mbona unanikatisha tamaa? Tafadhali nisaidie bila kuchoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…