Jina likikosewa kwenye mfumo wa ESS linatatuliwaje?

Jina likikosewa kwenye mfumo wa ESS linatatuliwaje?

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
767
Reaction score
1,083
Habari wakuu! Kuna mdau jina lake halipo sawa kwenye mfumo wa ESS hivi anasolve vipi hii changamoto?
 
Ess haifunguki kwa tablet mpaka PC ni kwangu tu au kuna mtu anapitia changamoto hiyo
 
Back
Top Bottom