kama vile huna mama wala dadajina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'
ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol
kama vile huna mama wala dada
jina perfect ni 'mzigo'...

Hapa kuna point flan hivi!
Wanaume wooote hutoa names kwa wapenzi wao, kuna yale majina ambayo wao wanaume huongea kwenye vijiwe na kwa marafiki zao ili tu wasionekane wako attached saana emotionally to the lady (i.e dame) BUT huyo huyo mwanaume huwezi mkuta akadhubutu kuita mbele ya mpenzi wake.... Majina ya kukuita sometimes depends hata the way mpenzio analitamka.... Mfano pumpkin or apple or Sweet pie.... Kama mtamushi kalikosea... Waweza lia kwa hasira na kumuomba akwite kwa jina lako....lol
mueleweshe na ASHADII...
kumbe naenda kuwa mzigo wa mtu daah maskini kijana wa watu? nifanyeje sasa?jina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'
ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol
So dada,kuna jina unapenda shemeji akuite?Kama lipo hebu tuambie ni lipi hilo?
Boss unafikiri sijaelewa? I can dare call my Man kwa wenzangu kua yule jamaa ni ATM yangu! But do you think I can dare say that mbele yake? (hata kama kweli namtegemea kwa kila kitu?)