Jina " Mfaume" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

Mfaume Rashid Kawawa waziri mkuu wa zamani wa Tanzania.

Mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma.
 
Sio jina la kikabila ni jina la kiislam

USSR
 
Sana sana hao watu utawakuta ukanda wa pwani wakiwa tanga wanakua kabila la wazigua sana sana wakiwa moro wanakua walugulu,wakiwa umakondeni huko sijui..nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…