Jina "Msangawale" ni wenyeji wa mkoa gani/kabila gani?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mwenye kujua naomba anijulishe tafadhali. Kama anajua na maana ya jina itakuwa vizuri zaidi.

With much thanks in advance.
 
Hilo jina nahisi litakuwa na unasaba na akina Paul Kimiti Mizengo Kayanza Peter Pinda na Marehemu Mzindakaya na Cardinal Pengo

Taitu Kalesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…