leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Ama novena 🤣Kwani tumekusaidia kuzaa?
Muite Kwaresma.
'Kipaimara' pia inaeza weza.Ama novena 🤣
Watu watajua ni kituo cha mafuta.Petros
Muite Eliya, au Yusuph.Naombeni jina mtoto wa kiume mkatoliki
Una utani na Kayanza Mizengo Petero Pinda?Maana yeye ndiye mtoto wa mkulima asiyecheka sana
Kumbe Peter Pinda bonge la starUna utani na Kayanza Mizengo Petero Pinda?Maana yeye ndiye mtoto wa mkulima asiyecheka sana
Taja majina yake vizuri.Na usisahau kutanguliza aidha,mzee au muheshimiwa na hata waziri mkuu mstaafu.Kumbe Peter Pinda bonge la star
Samahani mkuu, nilimaanisha muheshimiwa waziri mkuu mzee mizesh bender.Taja majina yake vizuri.Na usisahau kutanguliza aidha,mzee au muheshimiwa na hata waziri mkuu mstaafu.