Jina steven lina mahusiano gani na movie za kizungu?

Jina steven lina mahusiano gani na movie za kizungu?

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
nimejaribu kuchunguza nimebaini kati ya movie kumi za kizungu tisa zinamshiriki anaitwa steven hii imekaaje wakuu
 
Kwa jina lako lilivyo na mada yako,unaonekana unajimegea pande mzee
 
Inatokeaga tu kuna jina linakua linapendwa na watu/jamii flani
Katika wachaga 10 utakuta sita wanaitwa giloo (glory)
Wasukuma 10 nane wanaitwa joni
N.k
 
Back
Top Bottom