steve_shemej JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,175 Reaction score 1,588 Mar 21, 2021 #1 nimejaribu kuchunguza nimebaini kati ya movie kumi za kizungu tisa zinamshiriki anaitwa steven hii imekaaje wakuu
nimejaribu kuchunguza nimebaini kati ya movie kumi za kizungu tisa zinamshiriki anaitwa steven hii imekaaje wakuu
B big IQ JF-Expert Member Joined Dec 16, 2012 Posts 491 Reaction score 892 Mar 21, 2021 #2 Kwa jina lako lilivyo na mada yako,unaonekana unajimegea pande mzee
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Mar 21, 2021 #3 Sasa mkuu sisi tufanyeje?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 21, 2021 #4 Weka ushahidi...
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Mar 21, 2021 #5 Inatokeaga tu kuna jina linakua linapendwa na watu/jamii flani Katika wachaga 10 utakuta sita wanaitwa giloo (glory) Wasukuma 10 nane wanaitwa joni N.k
Inatokeaga tu kuna jina linakua linapendwa na watu/jamii flani Katika wachaga 10 utakuta sita wanaitwa giloo (glory) Wasukuma 10 nane wanaitwa joni N.k