Jina tu la hiki Kinywaji huwa linanishtua sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Yaaani nikisikia tu anasema anakunywa au anatumia K- Vant basi mi akili yangu inaenda mbaaaaaaaaaali.

Kuna mtu hapa kasema atanipa K- Vant kama ntampa jibu la swali lake...basi nmeanza kumwangalia kwa jicho la kati huyu bimdada. Nasema da...anipe tu hiyo K Vant yake.
 
Hawa ndio wale wanaokunywa Serengeti Lite 4 halafu anajisifia eti "jana nililewa sana" acha ubwege wewe mwanaume ukiamua kupiga vitu kunywa mzinga mzima wa Vant ongezea na Balimi 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…