hongera kwa kuwa na bussiness idea, ss jitahidi na upate jina la company,. Coz mara nyingi inategemea ww mwenyewe je ni jina lako, au jina la eneo uliopo, kwahyo amua mwenyewe. Ila mm natoa jina ita mnyonge stationery.
Hapo sina cha kushauri, lakin fanya brainstorming utapata. Ukishindwa kabisa jaribu KAHMANDA KAMHANDA S TATIONERY Uone ka utapata mteja hata wa kununua 'sindano rungu'