Jina........

Mkuu ni mawazo mazuri,mi sina mchango wa jina,ila nilikuwa ma idea kama yako lakini niko nje ya chi hivyo vigumu kujua cha kufanya ila huku huwa vitu vingi ambazyo vinaweza kusaidia wasio na uwezo vinapatikana kirahisi kuanzia viguo,toys,vitanda vya watoto mpaka pushchairs.hivi ninavyoandika nina begi kama mbili za nguo za watoto wa kike na wakiume ,zimetumika lakini ziko kwenye hali nzuri tu.kama upo serious tuwasiliane, pia nambie upo mji gani hapo bongo kwani karibuni mi nitakuja nyumbani. Thx
 
Nashukuru sana wadau kwa msaada wenu nayafanyia ntarudi kuwapa feedback muda c mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…