Jinamizi linaporudi: 2 Mill USD for KIKWETE from Oman

Jinamizi linaporudi: 2 Mill USD for KIKWETE from Oman

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Gazeti la Africa Confidential liliandika kwa kirefu..mengine ni kutokana na "vitoto vya nzi" ambavyo havituliiuko uarabuni..
Zilitolewa Aprili 2005
It was campaign funds for his election
Given by who else..? you guessed it
Kikwete threatened to sue over the report he never did na hivyo ukimya wake kuonesha kukubali kupokea
Dili ni kuwa favor itakuja kurudishwa baadaye na riba juu

wakati wa kurudisha favor ulipofika.. here comes Dowans! Now.. how do help our beloved President return the favor ili aoneshe uungwana?

Habari ndiyo hiyo!
 
Mbona umeonyesha traler tu na kuzima movie? I was just getting settled in my seat.
 
Gazeti la Africa Confidential liliandika kwa kirefu..mengine ni kutokana na "vitoto vya nzi" ambavyo havituliiuko uarabuni..
Zilitolewa Aprili 2005
It was campaign funds for his election
Given by who else..? you guessed it
Kikwete threatened to sue over the report he never did na hivyo ukimya wake kuonesha kukubali kupokea
Dili ni kuwa favor itakuja kurudishwa baadaye na riba juu

wakati wa kurudisha favor ulipofika.. here comes Dowans! Now.. how do help our beloved President return the favor ili aoneshe uungwana?

Habari ndiyo hiyo!
MMKJJ wewe ni mwisho!. Kuna mahali nilisema mitambo lazima itanunuliwa tuu nikidhani ni fadhila kwa king maker, kumbe ni fadhila toka the maker of the king maker!.
There is no way out, he has to give in. Lets just seat and wotch the rest of the movie.
 
yaani unaanzisha thread ya 2 million dollars?

give me a break hivi unajua Ikulu wamespend kiasi gani kukata ile miti kule nyuma na kuweka terazo ya magari?

hebu mpumzisheni JK jama
 
yaani unaanzisha thread ya 2 million dollars?

give me a break hivi unajua Ikulu wamespend kiasi gani kukata ile miti kule nyuma na kuweka terazo ya magari?

hebu mpumzisheni JK jama

GT.. ndugu yangu sema tu kiasi gani ili watu wajue. Maana nakumbuka ya Mkapa na Ukuta wake wa Ikulu.. sasa kuna la kukata miti? Duh..
 
GT.. ndugu yangu sema tu kiasi gani ili watu wajue. Maana nakumbuka ya Mkapa na Ukuta wake wa Ikulu.. sasa kuna la kukata miti? Duh..

Utafikiri kuna mashindano ya kutafuta nani alitumbua zaidi baada ya kuukwaa Uraisi. Mpaka sasa inaonekana BWM anaongoza lakini kwa nguvu, ari na kasi ya incumbent, si ajabu akashika usukani within half the time. Si mnajua tena - nyumba nyingi, ndogo, wastani na kubwa - kaza buti.
 
I knew this was coming sooner or later. Ndiyo maana nchi nyingine wananchi wanawasapoti hata ma-DJ kuchukuwa nchi. Katika mahojiano ya BBC alipokuwa London kuhusu suala la madagascar, JK alisema kilichotokea huko ni ukiukwaji wa demokrasia, mtu anaanzisha fujo ili aupate urais m-- badala ya kubadilisha uongozi kwa njia ya demokrasia.

Mimi nadhani JK anajua ukweli -- kwa nini wananchi walimtimua Ravalomanana bila kufuata demokrasia. Kuna mahali wananchi wanafika, hasa katika nchi hizi za Afrika na kuona kwamba demokrasia inawatia umasikini. Katika miaka miwili iliyopita marais wa nchi mbili wamebadilisha katiba kuondoa ukomo wa vipindi vya urais, na nchi zingine mbili ilishindikana. Ravalomanana naye alikuwa mbioni kufanya hivyo.
 
Mzee Mwanakijiji hebu tuwekee link ya gazeti hilo au copy la hilo article ili tupate kusoma. Mi naamini tukiweka kumbukumbu zetu tunaweza kuunganisha nukta (connect dots) nyingi.
 
Mwanakijiji, hapo ndo penye tatizo, huoni bwana mkubwa anavyokaa kimya utafikiri hasikii.
Mwalimu aliwahi kuonya kwama watarudishaje hizo fedha wanazopokea kuwapeleka ikulu?
 
yaani unaanzisha thread ya 2 million dollars?

give me a break hivi unajua Ikulu wamespend kiasi gani kukata ile miti kule nyuma na kuweka terazo ya magari?

hebu mpumzisheni JK jama

Wanamazingira waliruhusu? Si bora wangebomoa ukuta wakajenga upya mwingine
 
Kazi kweeeeli kweli,Think tank must be......RA, Moderator EL? enzyme Karamayai? Idrisa?Ooofffss***! sasa nakumbuka na kuelewa vizuri maneno ya Bangusilo wa kibaha, kumbe alitoa majibu palepale bungeni, Duu! Duu! Al Aldawi

i es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.

The Chairman of the Democratic Party claimed at a press conference that the Iranian government through Tanzanian MP Rostam Aziz, had funded Kikwete's campaign for over 10 years.

The press conference was held ahead of a meeting by eight opposition parties to plan a common strategy against the CCM in Tanzania's October elections.

Mtikila alleged that the Iranian government had set aside a substantial amount to prop presidential candidates in countries where the Asian country has economic interests.

Aziz, a Tanzanian of Iranian extraction is representing Igunga constituency in Tanzania's Union Parliament on the platform of the CCM.

Mtikila did not say how much Aziz had allegedly received from the Iranian government for Kikwete's presidential campaign, but cited Tanzania's uranium deposit as possible motivation for the alleged assistance.

He said the Iranian government could not have given Aziz money for nothing: "they must be harbouring interests in Tanzania."

This is the second time that Aziz, Kikwete's campaign manager, would be accused of securing foreign funds for Kikwete's presidential campaign.

Last April, London-based journal, Africa Confidential claimed that he had been given two million US dollars by the Oman government as campaign funds for Kikwete.

Kikwete, Tanzania's Foreign Affairs and International Co-operation Minister had vowed to sue the journal over the report, but since his nomination as CCM presidential candidate in May, he has said nothing about the report.

The London journal has challenged him to go to court insisting it has overwhelming evidence to back its claims.

There was no immediate reaction to Mtikila's allegations from either Aziz or Kikwete.
 
Africa Confidential Vol 46 No 7 1st Apr 2005,

tatizo ngoma yenyewe ni ya kulipia, hivyo haipatikani kirahisi
 
Mwanakijiji, hapo ndo penye tatizo, huoni bwana mkubwa anavyokaa kimya utafikiri hasikii.
Mwalimu aliwahi kuonya kwama watarudishaje hizo fedha wanazopokea kuwapeleka ikulu?

Ukiangalia vizuri (lakini lazima iwe kwa makengeza) mpangilio wa mawaziri na watendaji wakuu wa serikali yetu ya TZ, lazima atazirudisha tu, na wale wazee wakitahadhalisha wananyamazishwa na kuambiwa wakae pembeni kwani mda waao umekwisha pita na eti waache vijiwe! jamani?
 
NDIO MAANA JAMAA ALISEMA HAPA JUZI KUWA, kuna ulazima kuamend sheria zetu za manunuzi. hii inaonekana kama ni kweli jamani. kikwete yuko kimya kwenye jambo hili, na anasapoti kununuliwa ile mitambo,ni sheria ya manunuzi tu imetuokoa jamaa hata na wanasheria wake naona hawakujua kuwa kutakuwa na pingamizi hilo, dili lilikuwa ni hilo toka zamani. ndio maana RA ana kiburi, kumbe ana mtu nyuma mkubwa, angekuwa mtu mwingine kikwete angeshampandisha kizimbani mda mrefu.lakini kwasababu RA ndo conductor wa vitu vyote hivi, ataendelea kudunda tu. ni kweli, hii nchi imenunuliwa na watu, wamebaki watu tu kuuzwa kama maandazi, ila nchi, iko mikononi mwa wachache aisee.
 
Back
Top Bottom