Jinamizi linaporudi: 2 Mill USD for KIKWETE from Oman

That is the problem when we elect people who are not qualified even after decades plus of being a seniour member of cabinet. Men so greedy and ambitious hawana kukomo cha kimaadili... uchawi, ufisadi, kupaka wagombea wengine matope...etc Alafu nnashangaa inakuaje albino wanauliwa na serikali iliojaa washirikina haifanyi kitu. Its just ridiculous kwa kweli. Huyu muiran anawawakilisha serikali ya Iran.. 2011 uranium yao inakua in the making sasa itakuaje... Inabidi na wamarekani nao washtuke waanza kuleta hela za malaria na ARVs..

Tanzania...where we PLAY..HARD!
 
Sasa mrudi mseme CUF ni Chama Cha waarabu ,CUF ni Chama Cha kidini yaani mnagandamiza ile mbaya kumbe mwiba mumeukalia.Mnabangaiza maumivu kwa kuwasakama CUF ,wandugu siku zote ukweli utakuja juu tu ,na ndio hayo yanazuka.
 
Mwenzetu unajuaja kama wananchi bado hawajauzwa??? Mambo yanavyokwenda siku mmoja utapewa papers zinazothibisha kuwa tumeuzwa. Mimi hawatanipata kwa kuwa sina mpango wa kurudi huko mpaka nijuwe hatima ya Bongo.
 
MKuu Mwanakijiji,

Haya ni matatizo makubwa san ya Nchi yetu,hauwezi kuta mgomgea U-rais anashinda bila ya kutumia pesa za watu wengine.Ili ni tatizo na linachangikiwa kwa kiasi kikubwa na wanachi wenyewe kwa kupenda Kupewa pesa kabla ya kupiga kura.

Mie nilishawahi kujiuliza sana(ukasema ),Hivi sisi tumerogwa au ni taifa la Mandondocha?Nchi hii haiwezi kufika kokote kule mpaka pale wale wanajiita watawala watakapong'oka kw2a kutumia sanduku la kura!

Hivi haujawahi kujiuliza tunaongozwa na mtu wa namna gani,asiyejua effect ya Economic Recession katika nchi hii mpaka atume watu kutoka hazina wakaongee na wakurugenzi wa halmashauri?

I think there is a wish we need to grant,ni kuhakikisha jamaa anakuwa one term kiongozi!
 
yaani unaanzisha thread ya 2 million dollars?

give me a break hivi unajua Ikulu wamespend kiasi gani kukata ile miti kule nyuma na kuweka terazo ya magari?

hebu mpumzisheni JK jama

From what range do you think is significant sum to be written here?
 
Sasa mrudi mseme CUF ni Chama Cha waarabu ,CUF ni Chama Cha kidini yaani mnagandamiza ile mbaya kumbe mwiba mumeukalia.Mnabangaiza maumivu kwa kuwasakama CUF ,wandugu siku zote ukweli utakuja juu tu ,na ndio hayo yanazuka.

...mmmh CUF imetokea wapi tena kwenye mada hii??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…