Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Haya tumesikia ya mdomoni ila ya moyoni anajua mwenyewe! bongo movie! haya bwana jumanne kihangala (tuesday )ushauri wa bure huo kutoka kwa kibao chako cha kale.
Alipoachana na bushoke ndo kajua kua kuna mtu hajaoa na umri umeenda? Bongo muvi every corner
Hahahaaaa,labda anatikisa kiberiti....
Duuu ... ndo wasanii wetu.... kaulizwa km ana wivu au laaaa au anataka mr chuzi amwangalie upya nn .... ndoa zinatafitwaje
Hatariiii...ndoa sio mchicha uote popote.