Jini Kabula kuolewa na Bushoke soon

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
2014 unaweza kua mwaka mzuri kwa mrembo Kabula. Mrembo huyo aliye panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet inaelekea
kama mwaka huu utakuwa mzuri sana kwake kwani yale mahusiano yake ya muda mrefu na mpenzi wake Bishoke sasa ndoa inanukia .

Vibe ilipomtafuta hewani alikiri kiwepo kwa ndoa hiyo na mpaka sasa mipango iko sawa kabisa"naolewa kwenye mwezi wa saba hivi then tunahamia south ila detail nitatoa pale tu Bushoke atakapo tua nchini" alisema Kabula.

Kabula alipokua juu sana wakati huo ndani ya tamthilia ya Jumba la dhahabu aliwahi kupata mtoto mmoja.
 
Tunahitaji mashujaa kama Bushoke wawe wengi kupunguza dhahama mtaani...bravo Bushoke.
 
Mhhhhhhh may be

Labda anaweza kuolewa muache ajipe matumaini, ila kabula ni bonge la pini ukimuona live , mrefu ana rangi na muonekano mzuri tofaut anavyoonekana kwenye TV na magazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…