Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
ZIARA ya pelos, reaction kutupa makombora baharini Leo wamepeleka mawakala wa Congress USA hapo anamaanisha We need more than kutupa mawe baharini. Mkiendelea kutupa mawe baharini next week watafungua ubakozi wa Taiwan mkitupa mawe zaid tunatangaza na Uhuru wa Taiwan.
ukipenda vitani utaingia usipo penda Utaingia xi anamachaguz mawili tu eidha kunyoa Au kuondoa nywele kichwani.
No body in, No body Out
jini la Damu limechachamaa.
They need a Waaaaaar
USA is Hungry feed them with blood 🩸and Gold.
mwenzie Russia anafanyiwa Finishing
Next stop North Korea. Pyongyang. [emoji1188]
Kinachomuweka salama Kim hadi sasa ni kimoja tu Hana Rasilimali za maaana sana so gharama za kipigo chake Hazitaweza kurudishwa. This is How War with USA works.
USA hapigani vita kwa hasara ilimradi kapata Sifa amekupiga. Akikupiga lazima akuache Empty hands
I repeat Empty hands.
Yeyote alie pigana na USA lazima abakishwe Fukara. Tunampiga Rusia kwa silaha za Demo, then silaha hizo zinauzwa mara mbili ya bei za soko. Huku Putin anahaha huku wanaingiza pesa. Nusu ya pesa wanapewa Ukraine [emoji1255] waijenge nchi yao.
just Imagine Unawekewa vikwazo halafu alie kuwekea vikwazo anakwambia Marufuku kuacha kutuuzia gesi yako hadi tutakapo pata mbadala na hapo hapo Unapigwa marufuku kuuza nchi nyingine isipokua kwetu sisi tu.
Tukipata akiba ya kutosha ya Mafuta na gas [emoji618]️ Tutakufungia mazima na huna jinsi inabidi gas uwapelekee, na usipo peleka gas ya kutosha Inabidi utetezi wako uwe ni uchakavu wa bomba kama kisingizio na kulipwa kwa Rubo.
Na utoe maelezo hadi wa Kuelewe.
Tuna super power mmoja.
Case closed.