Jini linalokufanya usioe ama kuolewa- swahib bil bilad

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Haya ni majini ambayo dawa yao ni kufyeka na damu ya yesu..unawasha moto wa yesu kwanza kabla ya kusali
kuna mabinti kila wakipata mchumba wanaishia kuvishwa ring za engagement isiwe kwako in jesus name
kuna mabinti kila wakipendwa na right husband wanakuwa nahasira namwisho wanaume kuishia kupimia size
zao zauume...
Wapo wanaume wanaokuwa na hela lakini kila wakisikia swala landoa wao ni kituo cha polisi,,unashangaa jitu la miaka kadhaa linashinda pale afrikasana unajiuliza nini shida asioe sio yeye kashapandikizwa kuna li rooho linamwongoza
ndio hilo sasa yawezekana na wewe ni mmoja wao ama una ndugu alieteswa na shida hizo sasa ndio muda wako chukua
nafasi yake kemea lifyeke kwa damu yayesu na kila baada ya kusali mwambie mungu akuhifadhi namapigo ...sitokuwa na wewe ukiamka asbh unaharisha ama umejaa udongo sijui umelima wapi..so nikikufundisha kujitoalazima nikuelekeze
kujilinda ujihami..kemea usiache kuyataja live nakukemea ewe swahib bi bilad unaeefanya nisiolewe ama kuoa kwa jina layesu

hivi ujajua kuna ndoa baada ya mwezi wanabadilishana vyumba akila mtu vyake..ujui kwa nini ingia ukacheze saga la ndoa
anza kukemea kalba ayajakukuta ndugu ukiona hivyo ujue kwenye vile vyumbakuna wenzao wanawamalizia ham kila usiku
sasa isije wewe mmoja wao

naishia hapa ukawe mshindi na soon ukapate mchumba wako in jesus name
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…