Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba.
Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba.
Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo wanatamani kufanya hata kila siku, hii inatokana na kichocheo cha homoni ya testosteroni.

Homoni hii kama isipoathirika badi inafanya sana kuchochea hamu ya ngono.
Fanya uchunguzi mdogo. Kwa wanaume wasio kunywa pombe, sigara au madawa ya kulevya starehe yao kuu ni ngono. Kama ww ni nywaji acha pombe kama miezi miwili alafu jipime kwenye ngono ukoje.

Sitazungumzia upande wa wanawake watakuja na ushuhuda wenyewe.

Kama umeoa na mkeo anataka ngono kila siku ni kazi kwako mwanaume wajibika acha kusingizia ana jini mahaba.

Usipofanya hivyo utakuwa unasaidiwa na wenzio.
 
Usijidanganye Wala usidanganye watu, nguvu za Giza (Majini na Mapepo), zipo. Muhimu Sala na Damu ya YESU
 
Back
Top Bottom