secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
We Cheka tu! Jini mahaba anazingua sana ujue.πππ
Sijui huwa unawaza nini, naona nyeto imekushinda uwezo!πWe Cheka tu! Jini mahaba anazingua sana ujue.
Subiri kwanza..unajua wapo wakike na wakiume sasa wako wewe alikuwa yupi..Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha kuja.
Kipindi fulani nikaja kufungwa jela. Sasa, kule sikuwa na wa kufanya naye mapenzi, ndipo nikawa natamani kufanya naye, lakini yeye wala hakutokea hadi siku nilipoachiwa huru.
Eti, baada Mimi kurudi uraiani akawa ananijia tena, nyambafu sana yaani!
Kitu usipokipenda kinakupenda, ukiwa unakipenda hakikupendi π€.
Hebu tupe stori yako ya kufungwa huenda watu wakajifunza kitu.Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha kuja.
Kipindi fulani nikaja kufungwa jela. Sasa, kule sikuwa na wa kufanya naye mapenzi, ndipo nikawa natamani kufanya naye, lakini yeye wala hakutokea hadi siku nilipoachiwa huru.
Eti, baada Mimi kurudi uraiani akawa ananijia tena, nyambafu sana yaani!
Kitu usipokipenda kinakupenda, ukiwa unakipenda hakikupendi π€.
Nyeto iko palepale, ila pia kungonoka kuko palepale. Nyeto Mimi hufanya kama ibada tu na siyo kama njia ya kujiburudisha.Sijui huwa unawaza nini, naona nyeto imekushinda uwezo!π
Wa kike.Subiri kwanza..unajua wapo wakike na wakiume sasa wako wewe alikuwa yupi..
Huyo jini haba(simuiti jini mahaba hadi wawe wengi) angekuwa mjinga sana kama angekubali afungwe pamoja nawe na mdinyo atoe.Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha kuja.
Kipindi fulani nikaja kufungwa jela. Sasa, kule sikuwa na wa kufanya naye mapenzi, ndipo nikawa natamani kufanya naye, lakini yeye wala hakutokea hadi siku nilipoachiwa huru.
Eti, baada Mimi kurudi uraiani akawa ananijia tena, nyambafu sana yaani!
Kitu usipokipenda kinakupenda, ukiwa unakipenda hakikupendi π€.
Ni story ndefu kidogo. Kesho inshAllah nitaileta.Hebu tupe stori yako ya kufungwa huenda watu wakajifunza kitu.
Ukitueleza ilikuwaje A-Z sio mbaya!
Mimi nasubiri hadithi yake kwanini alienda jelaβ¦Ayatollah wa JF kwenye moja na mbili πππππ
Utakuwa umetisha...!!Ni story ndefu kidogo. Kesho inshAllah nitaileta.
Kwamba alijua angekuja gerezani naye angekuwa mfungwa! π―Huyo jini haba(simuiti jini mahaba hadi wawe wengi) angekuwa mjinga sana kama angekubali afungwe pamoja nawe na mdinyo atoe.
π₯Utakuwa umetisha...!!
Tunasubiri asimulie jinsi alivyoenda lupango/jela/mung'anda/segadanse/Big brother house/kabatini.Mimi nasubiri hadithi yake kwanini alienda jelaβ¦