Wana jamii wenzangu habari za usiku? Mm nilikuwa naomba mnielekeze sehemu ambapo naweza kununua jino la bandia maana sijui huwa wanauza wapi. Asanteni sn.
angalia ni aina gani ya meno. kama unataka implant, yaani wanapandikiza jino moja kwa moja halitoki tena, nenda nje ya nchi, ila si chini ya dola 2000. kama ya kuwa unachomeka tu, nenda muhimbili kitengo cha meno wataalamu wengi tu, bei nafuu!!