Mm nilipata ajali jino likakatika kipande, nikaenda hospital moja huko Arusha wakalijaza. Sijui walitumia material gani lkn ukiangalia huwezi kujua kama lilishawahi kukatika . Sikumbuki jina la hospital lakini iko barabara ya Sokoine km unakwenda soko la Kilombero kutokea mjini kati.